Picbear logo Browse Instagram content with Picbear

@_esmaplatnumz

esma khan

_esmaplatnumz

Snapchat Esmaabdul20 @esma_dangote |official IG Acc Periscope Esmaplatnumz Business woman wasap/call 📱📲 0719646705 YES! we deliver 🏃🚗

 • 22K Total Likes
 • 107 Tot. Comments
Birthday girl @tahiyabby msomi wangu chaupole wangu ❤
Kwa electronics na furniture za ukweli zinapatikana sehemu Moja tuu @praygodhome_store wanapatika kkooo mtaa wa uhuru/ndanda jirani china Plaza /Benjamin secondary school kwa mawasiliano 0756630724/0657397221 pia Home delivery free in dar na mikoani delivery ni uhakika mzigo unafika kwa muda husika
For the Magnificent and outstanding GEMS and JEWELLERY in town. Visit YAKUB jewellery at harbour view towers samora avenue in posta street Dar es salaam. Call +255784793483. (Kwa urembo wa vitu vya thamani na mvuto wa kisasa tembelea YAKUB jewellery iliyopo harbour towers samora avenue posta. Piga namba +255784793483. Upate maelekezo zaidi vitu ni hatari alafu hukuti sonara yoyote pale be classic) haya jamani hapa ndio utapata vitu vyenye uwakika na unique 👌 basi follow kwa vitu amazing @yakub_gems_jmmall @yakub_gems_jmmall @yakub_gems_jmmall
RE-GEN OIL zinapatikana 125 mls Tsh 50,000 Yanasaidia kuzuia na kupunguza stretch marks. Yanasaidia na kuondoa makovu yatokanayo na chunusi au makovu ya aina yoyote yale. Yanafaa na matumizi ya manicure unaloekea kucha kwa mda kidogo mara kwa mara na matokeo yake utayaona mazuri. Yanafanya ngozi iwe soft na smooth. Yanasaidia kupunguza wrinkles yaani mikunjo usoni. Unaweza kutumia katika cream yako au lotion. Yanasaidia kuipa ngozi yako kuwa na rangi moja amaizing. Yana vitamini A na E ambazo yanasaidia kuweka ngozi yako ktk hali nzuri nyororo laini bila madoa wala alama ya aina yoyote Yana moisturise ngozi Yanafaa Mwanamke kwa Mwanaume Tupigie or tuwatsap 0719646705
Bio oil ni nzuri sana hasa kwa wale waliokuwa wembamba mambo yakawa mazuri wakapata mwili... km tunavyojua bio oil kazi yake ni kuzuia stretch marks sasa unaponenepa unaweza ukawashwa mwili chini ya kiuno au mapajani chini ya miguu basi unapojikuna ndio unapopata michirizi... sasa basi unapokuwa unasikia miwasho au hata ukapaka Tu BIO OIL italinda ngozi yako hayo yote yasije yakakutokea na wajawazito ni nzuri sana kutumia ili unapozaa usipatwe na michirizi tumboni. Bei Kubwa sh 60,000 Ndogo sh 40,000 Tupigie or tuwatsap 0719646705 na kumbuka unachichukua ni 100 ORIGINAL
feminine liquid soap available tshs 20,000. Hii sabuni special kwa mwanamke ni nzuri sana inasafisha na kukata harufu mbaya jamani km unavyojua Mwanamke usafi huko kwa K... ni aibu na kikawaida ili ufurahie yale mambo uwe msafi bana na kibaridi hiki basi sasa tuwasap au tupigie ujipatie 0719646705
Fem fresh intimate wash product zinapatikana Tsh 20,000 Wanawake wenzangu hizi product za fem fresh ni nzuri sana kwaajili ya usafi wa kusafisha kule sehemu nyeti Ninzuri kuliko sabuni hizi tunazoogea Pia zinasaidia na kuuwa vibacteria na harufu mbaya Km unavyojua sisi tunahitaji usafi wa hali wa juu basi tupigie or tuwatsap #0719646705
Gpycerin & rosewater ni toner nzuri sana kwa ajili ya ngozi Bei ni sh 20,000 kwa chupa. Unaweza kutumia peke yake usoni kwa kutumia pamba kabla hujapaka cream au lotion yako. Unaweza pia kutumia kuchanganya kwenye lotion yako au cream yako yoyote Ile uipendayo. No fake zone ✌✌✌☎📞 #0719646705 @esmabeautyshop @esmabeautyshop
Tunazo pia Tradition Glycerin & Rosewater kwa bei ya sh 20,000 Tu. Inasaidia kulainisha ngozi. Inasaidia kuondoa madoa. Inasaidia kurudisha ngozi na matundu ya ngozi ktk haki yake ya kawaida pindi utokapo kunawa uso. Ukisha nawa usi wako unashauliwa kutumia Toner ili kurudisha ngozi yako ktk hali ya kawaida ndipo uebdelee na kupaka serum au cream yako. Inafaa kwa ngozi ya aina. Tumia pamba kupakaa toner yako ili ikae na kuingia vizuri ktk ngozi yako. Unaweza pia changanya ktk cream yako au lotion yako. Tupigie or tuwatsap kwa No. #0719646705 🙏
Apple cider vinegar now inapatikana kwetu Chupa dogo sh 50,000 Chupa kubwa sh 70,000 Apple cider vinegar inamatumizi mengi na faida nyingi sana kwa Mwili, afya na nk. Wengi wanatumia kwenye diet zao ili wapungue, wengine kudetox, wengine kutibu chunusi kiukweli inatibu vitu vingi... ukitaka kuhamini kaigoogle utaona matumizi yake. Wengine hutumia kwenye nywele sana hutoa mazagazaga kwenye scalp. Tumia ACV hufanya hair rinse na hii inasaidia kulainisha nywele na kuondoa build ups ambazo zinazosababisha ngozi yako kuwasha na kuwa na mba... wakati mwingine huna haja ya kutumia shampoo hii ACV inatosha kuoshea nywele na nywele zinakuwa safi kabisa. Chukua chupa ya spray na weka maji kikombe kimoja na changanya 15ml ambayo ni km kijiko cha chakula... vipimo vinategemea na uwingi wa nywele.. hiii product ni lazima uwenayo ndani maana matumizi yake ni mengi. Karibu tukuhudumie vitu ni vizuri na ni ORIGINAL FROM UK tunakupenda tunakujali mteja na tunakuthamini. 🙏
#t444z hair Growth product zinapatikana Mafuta sh 60,000 Shampoo sh 50,000 Conditioner sh 50,000 Mafuta ni mazuri na hufanya nywele zako nzuri na zinakuwa na afya na mupunguza kukatika ovyo Huondoa muwasho mba Tupigie or tuwatsap 0719646705
TUNASHUGULIKA NA KUUZA VITU VIZURI NA ORIGINAL  KWA AJILI YA NGOZI YAKO NA NYWELE ZAKO. JIPATIE OJOJOO ORIGINAL KABISA KUTOKA UK #ojojoo NDIO HABARI YA MJINI FEEDBACK ZINAONYESHA ALIYEKATIKA NYWELE SASA HIVI ZIMEJAA, MWENYE MBA ZIMEISHA.....WEWE UNANGOJA NINI KUJINAFASI NA OJOJOO??👌👌👌 ▶️Mafuta elfu 60,000 ▶️Serum elfu 30,000 ▶️Shampoo elfu 40,000 ▶️Conditioner elfu 40,000 #ojojoo mafuta na serum ya kukuza na kujaza nywele kwa haraka sana 🔹Yanafaa nywele zenye dawa na zisizo na dawa. 🔹Yanafaa kwa wanaume, wanawake na watoto. 🔹Kiboko ya mba na tatizo lolote lile la ngozi. 🔹Yanajaza sana nywele na kwa uharaka zaidi 🔹Nywele zinakuwa nzito na laini 🔹Nzuri sana kwa watoto maana hulainisha nywele na kuzipa urahisi wa kuchana. 🔹 Husaidia kurudisha nywele zinazotoka kisogoni. ▶️Shampoo husafisha nywele na kuondoa mba ▶️Conditoner husaidia kulainisha nywele na kuzirudisha katika hali yake ya kawaida baada ya kuosha na kuzikausha. ▶️#OJOJOOSERUM inasaida zile problem areas kichwani. Mfano kwa wale mnaopenda sana kusuka rasta unakuta nywele huku mbele zinakuwa weak au zinakatika sana hii #ojojooserum husaidia kurudisha nywele zako na kuziimarisha pale zinapo anza kukua. 🔹Pia husaidia sana mataizo sugu kama vile mba, mapunye na issue zingine huko kichwani. 🔹Hii serum unaweza changanya kwenye mafuta yako ya #ojojoo na kuacha nyingine ambayo unakuwa unatumia mara kwa mara kwenye zile problem areas. Mafuta ya #ojojoo, SERUM, SHAMPOO NA CONDITONER ORIGINAL VINAPATIKANA Esma Beauty Shop tucheki Whatsapp au tupigie ☎️📞📱📲 0719646705 ▶️ Kwa wale wa Dar tunafanya delivery popote pale ulipo kwa bei nzuri. ▶️ Mkoani pia tunatuma mizigo kwa gharama nafuu. ▶️ KUTOKANA NA HALI YA JOTO MAFUTA YANAWEZA KUYEYUKA LAKINI SIYO KWAMBA HAYAFANYI KAZI ENDELEA KUYATUMIA UTAONA TU MATOKEO MAZURI. NAOMBA UJITAHIDI UYAWEKE MAFUTA YAKO SEHEMU YENYE UBARIDI. #nofakezone🚫✌🏽️✌🏽✌🏽 #ojojooserum
Nikiwa na jirani wangu siku hizi anafanya biashara 🤣🤣🤣 Pic by @bmc4tography Usisahau kunifollow ili uone pic nyingi zaidi za kunidoboa @esma_dangote @esma_dangote
Kwa electronics na furniture za ukweli zinapatikana sehemu Moja tuu @praygodhome_store wanapatika kkooo mtaa wa uhuru/ndanda jirani china Plaza /Benjamin secondary school kwa mawasiliano 0756630724/0657397221 pia Home delivery free in dar na mikoani delivery ni uhakika mzigo unafika kwa muda husika
VEEROX Skin treatment among and coconut moisturising cream inapatikana Tsh 20,000 Cream ni ya asili mtu wa aina yoyote anaweza paka hata mtoto unaweza mpaka Imetengenezwa na vitu vya asili vitu vinavyokinga ngozi yako Na kuifanya yenye kuvutia nzuri Na huzuia michilizi na kupunguza kabisa Hufanya ngozi kuwa nyororo nzuri km ya mtoto Hulinda ngozi yako kuepuka na ugonjwa wa ngozi wa aina yoyote Anapaka mtu wa aina yoyote mwanamke au mwanamke Tupigie or Tuwatsap 0719646705
Jesse natural cocoa butter body cream inapatikana Sh 40,000 Inasaidia kulainisha ngozi. Inasaidia uondosha madoa na vipele. Inasaidia kuzuia, kutoa kupunguza au kutoa stretch marks. Ngozi inang'aa na kuwa na mvuto mzuri. Inasaidia hasa ngozi kutokauka na kuifanya iwe nyororo hasa wale wanaoishi sehemu zenye baridi au ngozi yako ni kavu basi jesse ndio mkombozi wako tunakupa vitu vizuri ili mteja wetu urudi tena ufurahie uduma zetu na product zetu ambazo ni Original. Tupigie or tuwatsap 0719646705 Wa mikoani tunakusafirishia bei nzuri tu namzigo wako unapata salama bila longo longo🙏
Sio maneno yangu maneno ya mteja kizuri kinajiuza usiangalie urahisi wa bei ukaenda kuivaa fake kwa ubahili tuu. Angalia jee hii pesa ninayoitoa sitajutia.. Na matatizo niliyokuwa nayo yataisha usoni na nitakuwa na nzuri sasa wee kanunue fake ujikute unapaka lami kwa uso...🤣 Gabrini Black Mask sasa inapatikana Esma's Beauty Shop TSHS 25,000. Inatoa blackheads. Inasafisha ngozi kwa kuondoa dead skin cells. Kama una matatizo ya chunusi inasaida kuziondoa. Ngozi inatakata na kuwa laini. Unatumia mara 2 au 3 kwa wiki Inafaa ngozi aina zote na ni nzuri sana sana zaidi ya sana kwa wale wenye matatizo ya usoni inasaidia sana
Topiclear 3 in 1 inapatikana Kwa sh 40,000 tu. Cream inavitu vitatu ambavyo vitakusaidia kupendezesha ngozi yako navyo ni : Cocoa butter Shea butter Carrot butter Inasaidia kulainisha mwili. Inasaidia kuondoa madoa meusi na vipele. Inasaidia kuzuia au kuondosha stretch marks. Inasaidia sana hasa ngozi kuto kupauka hasa waishio sehem za baridi au ngozi yako km nikavu. Ngozi inang'aa na kuwa na mvuto sana. Inasaidia kukaza ngozi iliyozeeka na iliyojikunja. Tuwatsap or tupigie 0719646705 🙏
American Dream Cream & Lotion sasa zinapatikana Esma's Beauty Shop. Cream TSHS 45,000 Lotion TSHS  55,000 Zinang'arisha Zinafanya ngozi yako iwe na rangi moja amazing Zinafanya ngozi yako iwe laini na nyororo Zinatakatisha Zinatoa mabaka mwilini Zinazuia stretch marks zisitokee Zina saidia kupunguza stretch marks Zinafaa wanawake na wanaume Zinafaa ngozi aina zote Hazichubui Ngozi inakuwa moistured Unaweza changanya na bio oil, glycerine, serum uipendayo au rose water kupata matokeo mazuri zaidi. Tupigie au tuwatsap No. #0719646705 🙏
American Dream Cream & Lotion sasa zinapatikana Esma's Beauty Shop. Cream TSHS 45,000 Lotion TSHS  55,000 Zinang'arisha Zinafanya ngozi yako iwe na rangi moja amazing Zinafanya ngozi yako iwe laini na nyororo Zinatakatisha Zinatoa mabaka mwilini Zinazuia stretch marks zisitokee Zina saidia kupunguza stretch marks Zinafaa wanawake na wanaume Zinafaa ngozi aina zote Hazichubui Ngozi inakuwa moistured Unaweza changanya na bio oil, glycerine, serum uipendayo au rose water kupata matokeo mazuri zaidi. Tupigie au tuwatsap No. #0719646705 🙏
Original #queenelisabeth body cream inapatikana #esmabeautyshop kwa bei ya elfu 25,000 tu. #queenelisabeth ing'arisha ngozi yako na kufanya iwe soft and smooth, haichubui. ▶️ Unaweza pia kuchanganya na glycerine with Rose Water, Bio Oil au serum yeyote ile uipendayo. Kama unahitaji pia tucheki. Tupigie au whatsapp utupe order yako ☎️📞📱📲 0719646705 ▶️ Kwa wale wa Dar tunafanya delivery popote pale ulipo kwa bei nzuri. ▶️ Mkoani pia tunatuma mizigo kwa gharama nafuu. #nofakezone #queenelisabeth #nofakezone🚫✌🏽️✌🏽

Loading