Picbear logo Browse Instagram content with Picbear

@mangekimambi_

Mange Kimambi

mangekimambi_

🇹🇿Political commentator 🗣 🇹🇿 Free Speech Activist ✊ Mommy👩‍👦‍👦 Based in 🇺🇸 I share my opinions on Tanzanian Politics Whatsapp:+1 424 288 1123

 • 178K Total Likes
 • 15K Tot. Comments
🤣🤣🤣🤣 who did this???? . . Hivi Bado hawajawatoa remix?? Magu wa mivaloooooooo!!!
Huyu baba sio mzima.... His people are suffering haya ndio majibu yake.... Yani Maneno yake hayana hata maana. Yani mwenyewe akiongea huo upuuzi watu wakipiga makofi basi bichwaaaaaa . . Kinachosikitisha ni kwamba vyuma vimekaza kwa wanyonge. Kwa hiyo hao wanyonge ndo walizoea walimu hewa na vitu hewa? Kwani anadhani vyuma vimekaza kwa matajiri???Vyuma vimekaza kwa wale ambao chama chake kinadai kuwatetea, wanyonge. . . Yani huyu mzeee yuko out of touch with reality...
Pls follow my back-up account, next time likitokea balaaa kama hili mtanipata kwenye account hii. @mangekimambi_2020 @mangekimambi_2020 @mangekimambi_2020 . Tafadhali follow sio yatokeee matatizo uanze kujifanya hujui pakunipata 😂 . . Pia picha za ajabu ajabu ntakuwa naposti humo 😂😂🤣🤣
Dah, nchi yetu maskini...... Huyu mtu ndo hatoki tena madarakani. Hata hiyo 14 haitomtosha haondokiiiiiiii. Na niliwaambia toka mapemaaaa mkaniona kichaaa!! . . Dah, it’s sad kwa kweli eti watu wataruhusu nchi yao ichukuliwe na watu wachache sababu wanaogopa virungu vya polisi!!😩
Serikali mpya ya Zimbabwe imeanza mikakati ya kurudisha ardhi kwa wakulima kwa kizungu.... Huku Tanzania tumeanza process ya kuwafukuza wazungu.... South Africa Mandela alihakikisha wazungu hawakuguswa sababu alijua akiwatimua wazungu tu na South Africa ingedondoka kiuchumi... . . Sasa nyinyi wapumbavu mnaomtia utambi Magufuli aendelee kuwanyang’anya wawekezaji mali kimabavu eti madai mikataba ilikuwa mibovu nawaambia hivi mwisho wake utakuwa ni anguko la kiuchumi...... Kwanini tusijifunze kwa makosa ya wenzetu ?mbona South Africa hawakuwagusa wazungu na mbona sasa hivi Zimbabwe wanawalilia wazungu warudi kuchukua mashamba?? Ni mpaka na sisi tufike walipofika zimbabwe ndo tujifunze kuwa solution sio mabavu au kuwabambikia wawekezaji ripoti feki?? . . Nyinyi wapumbavu mnaomuita Magufuli Mzalendo sababu anawasumbua wazungu hamuitakiii mema hii nchi!!!! Zimbabwe sasa wanawaomba wazungu warudi na mashamba yao watawarudishia hivi ni mpaka na nyinyi muanze kubeba pesa kwenye toroli ili mkanunue mkate ndo mtakapojua kuwa adui yenu sio wawekezaji ila adui yenu ni CCM?? CCM wanachokifanya sasa hivi ni deflection tu wanawachonganisha wannachi na wawekezaji ili msiwape wao lawama. Tafadhali watanzania amkeni!!
Na Diamond pia ilikuwa geresha 🤣🤣🤣🤣ili mradi ajaze watu, ashindane na clouds.🤣🤣🤣. Mnajua Bashite mjinga sana eti anafananisha nyomi lake na la clouds 🤣, nyambaf anafananisha show ya Diamond ya bureeee na show ya kiiingilio cha elfu 10?? Afanye kwanza show ya elfu 10 alafu ajaze ndo tutamwelewa. Nyambaf show ya bure tena ya Diamond hata mtoto wa miaka 10 anaweza kuorganize akajaza stadium nzima! There was nothing special there!!! . . . . Dada mange mwanafunzi wa udsm apa japo ni story imepita lakn dah tuli aibika sana siku ya party ya makonda tuliendaa mlimani wenyewee tukiwa time jikokii huku na 70 percent punguzo kufik tukaenda duka la tekno show room tukaulizia bei ya phantom six plus wakasema lak saba na nusu tukasemaa vipi punguzo la makonda aka tuangalia kwa jicho baya then akasema mie ksho mtpata la magu tukaishia tu kupiga selfie kama ivo tungefanyaa nn hasa! Yan basht hana mpya yule kumbe ali force tu!
Dah Magufuli anajenga hospitali ya rufaaa kijijini kwake Chato 🤦🏽‍♀️ . . Ngojeni niwaaambie kitu hakuna kitu watanzania mtakachofanyiwa na Magufuli zaidi ya kurudishwa nyuma in every sense of the word nyuma. Atawarudisha nyuma kidemokrasia, atawarudisha nyuma ki uchumi, atawarudisha nyuma kielemu, atawarudisha nyuma kiafya..... . . Ngojeni ifike 2020 CCM watabaki wanadanganya wananchi Magu alinunua Bombadier, alijenga hosteli, na kukomesha rushwa,ila hawatoongelea maelfu ya watu waliofukuzwa kazi kinyemela kwa gia ya vyeti feki, hakuna atakaeongelea uminywaji wa demokrasia au kina Lissu kupigwa risasi, hakuna atakae ongelea jinsi elimu bure ilivyo na thamani ya bure, au jinsi imefanya mikopo ya vyuo vikuu kukosekana, hakuna atakae ongelea jinsi dawa zimepotea kwneye mahospitali, hakuna atakae ongelea kuhusu ajira kupotea na maisha kuwa magumu.... . . Seriously watanzania nawahakikishia Magufuli atawaletea umaskini na shida tupu sababu ni mpumbavu hana uwezo wa kufikiri, na sio upumbavu tu pia ni selfish. Hakuna kitu Magufuli anachofanya kwa manufaaa ya wengine kila anachofanya Magufuli anafanya kwa manufaaa yake yeye binafsi apate sifa.
Mi nashauri mzee aendeleee na moto ule ule sababu pesa zimeingia kwa njia zisizo halali. Tanzania sio shamba la kusafishia pesa..Nasema Zipigwe moto kama vifaranga.... . . Alafu naskia ni $ M1 sio Bilioni, hivi mzee anaijua $1billion huyu?? Huyu mzeee bwana sasa kwa vile na yeye kakosea namba kama yule mama aliemtimua kazi atajiuzulu uraisi au atajipa msamaha wa rais??
Dadeki hakuna tena kura za maoni CCM. Ni Magu anachagua mwenyewe wagombea na ndo maana wabunge wa CCM wameufyata...... Yani CCM full udikteta sasa hivi!! . . Alafu ni hivi kama kilichofanyika kwenye kura za udiwani Same thing kitafanyika hapa kwenye ubunge, upinzani tunaomba one thing this time, Tunaomba mawakala wenu muwaweke vizuri.ili watuleteee proof za video....staki kuongea sana ila this time msituleteee maneno tunaomba ushahidi wa video jinsi polisi wanavyowapiga mawakala, manavyowakamata mawakala. We want proof za video zinazooonyesha kabisa vituo havina mawakala wa ukawa. . . na kwenu wananchi kila mtu arekodi anachoweza kurekodi ukiona polisi tu jifiche sehemu rekodi kila kitu. Ukifika kituoni kama hakuna wakala wa Upinzani anza kurekodi ili wananchi wanaone kuwa vituoni hakukuwa na mawakala wa upinzani. This time we want proof. . . By the way sio lazma mrekodi then mtume whatsapp mnaweza nyang’anywa simu na polisi ,Tafadhali ingine live Instagram live, au periscope, au snapchat au Facebook. Pls mtu ukiona jambo lolote ingia live kwenye social media tunataka tuone mpaka polisi wanavyokunyang’a simu. . . Jamani this time tunaomba upinzani mtumie teknolojia kuwaonyesha wananchi uonevu unaoendelea kwenye uchaguzi. Like I said nyinyi chezeni na live. Tu ili hata polisi akikunyang’anya simu inakuwa tayari umeshamrekodi tokea anafanya tukio mpaka anavyokunyang’anya simu na tukio umeshalituma kwenye social media hata yeye kukuchukulia simu au kukupiga inakuwa haina faida maana tayari video watanzania tunayo.....
sio kwa fumbo hilo jomoni 🤣🤣🤣🤣.....Nasikia eti mwenyekiti wa CCM sehemu yenye maiti zinapunguza nguvu zake za kuogopewa kama Mungu... Tena haswa zikiwa maiti zaidi ya moja!! Naskia msiba wa maiti moja akibeba hirizi zake anaweza ondoka salama ila hiii misiba ya maiti nyingi akikanyaga kesho yake hata Mama Janeth hatomwogopa 🙈 . . . PS: Mi nashauri mzee afungiwe mochwari siku nzima ili tumalize nguvu zake za giza!!! Tumeshajua kiboko yake ni maiti na ndege kwanini tusimfungie mochwari? Na akitoka mochwari moja kwa moja airport, ndege ikae angani siku 2 mpaka kibetri chake cha moyo kiishe chaji . Akitoka huko naamini tutammudu! Ila bila kumfungia mochwari huyu jamaa atatumalizaaaaa....
Katika vitu vilinikera wakati nipo exile ni issue ya nyufa za hostel za UDSM. Haki nilikuwa nachamba usingizini sababu nilikosa pakuchambia....... . . Whaaaaaaaaaaat?? Hostel hizi zina 1 year only tayari zina cracks alafu kuna watu wanapinga kuwa hilo sio tatizo linaloonyesha ufisadi?? Haya majengo yamejengwa chini ya kiwango na Magufuli is directly responsible. Kama alivyojimwagia misifa eti kajenga kwa pesa ndogo mbona hachukui na responsiblity ya hizi nyufa?? Tena pesa hiyo ndogo yenyewe ni uwongo CAG kasema majengo yamejengwa kwa tsh bilioni 51 not bilioni 10 kama Magufuli alivyotudanganya. . . Sasa wewe Mtanzania jiulize majengo ya Bilioni 51 yanapata nyufa within 1 yr?? Kama sio ufisadi ni nini?? Ndo huyu kiongozi anaefanya watu wanahama vyama vyao?? . . Uwiii na hiyo ya engineer kuja kusema eti hizi nyufa ni issue ya kawaida??? Really? Eti ni nafasi iliachwa kwa makusudi? WTF?? Hivi wametuona watz mamburulaz kiasi gani lakini?? Expansion joint my ass!! jengo linapumua limekuwa kiumbe hai ama?? . . Yote 9, 10 ni mwanafunzi aliesambaza picha kukamatwa!!! Hivi watanzania mnajua hiii Serikali imetuzoea vibaya??? Kweli wanaweza kufanya kitu kama hiko bila woga wowote wa wananchi??? Haki watanzania msipoweka heshima kati yenu na Serikali 2020 kutakuwa na wabunge wa CCM tu bungeni na Magufuli atapita kwa asilimia 98 kama besti ake Kagame....
#repost @mangekimambi_2020 (@get_repost) ・・・ Magu anataka Bulembo achukue nafasi ya Kinana haraka iwezekanavyo.I think qualification ya Bulembo ni urafiki wa karibu sana na mwenyekiti wa CCM
#repost @mangekimambi_2020 (@get_repost) ・・・ Mnamkumbuka niliwaambia nini PolePole alipokuwa analeta unafki kuwa hawamtaki Wema?? Nilisema CCM ni wanafki wanawachezea mchezo watampokea Wema tena ikulu kabisa. Si hao sasa hata wiki mbili hazijakwisha yuko na mshauri mkuu wa mwenyekiti wa CCM. . . Ile Wema anasikitisha sana. Alafu mwenyewe anahisi anawarusha roho wananchi waliokuwa wanamtetea alipokuwa na matatizo kumbe anajikomoa mwenyewe. . . I'm a very strong believer of karma. Wema mwacheni kama alivyo dunia itamnyooosha. Dunia itamfunza huyo......Mnavyomtukana mwenzenu anazidi kuona sifa. She is enjoying the attention you are giving her. Mpotezeeni tafadhali, embu mwongeleeni mwanahabari aliepotea....... . . Ila Wema kiboko, hata ule ubinadamu wa kujisikia vibaya hakuna.mkavuuuuuuuuu mineno inamtoka tu. Ukiambiwa ndio yule aliekuwa anamlilia Lissu alafu leo ameketi na aliempiga risasi Lissu tena huku unampa sifa. Sidhani kama kuna Mtanzania mnafki na aliekosa uso wa haya zaidi ya Wema Sepetu.Doh kweli Wema kibokoooooo 🙆 . . Nawarudia tena mpotezeeni msimchambe, atakuwa anaposti vitu vya kuwafanya mumtukane ili apate attention ya Magufuli. Yani sasa hivi atafanya drama zoote ili Magufuli amnotice so nyinyi msimpe attention. Wallah Wema sio mzima!!! . . Alafu hajui the damage she has done to her brand. Anaona sifa tu kuongelewa kila sehemu ila madhara yake hayaoni maskini! . . . #repost @wemasepetu (@get_repost) ・・・ With Le Brother... Le Commander... The Man Himself... Call Him Mr Dar-es-salaam... Le RC... Tunakutakieni Jumapili njema... cc @paulmakonda @paulmakonda @paulmakonda @paulmakonda
Okay,tuweke ushabiki wa vyama pembeni na madudu mengine yoooote pembeni. Naomba leo watanzania tuulizane In all honesty, hivi Rais wetu ana akili timamu?? au ana moyo wa kibinadamu au ni mzalendo kweli?? . . Seriously this was shocking, haipajata kutokea dunia hii jamani. Wanajeshi 14 wauwawe kweli Rais wa nchi hatokei?? Eti anaenda kwenye shughuli ya furaha kukutana na Rais wa Mozambique?? . . Hapa kuna tatizo jamani, Magufuli ana issue gani na sehemu zenye maiti?? mpaka sasa namuhesabia misiba ambayo hakuhudhuria 1. Maafa Kagera 2. Watoto wa Lucky vincent 3 mke wa Mwakenyembe 4. Mamake JK 5. Polisi 8 waliouwawa Kibiti 6. Wanajeshi 14 7. Mkuu wa Mkoa Joel Bendera Hivi ambao wanajitia kumuunga mkono huyu mtu eti sababu za uzalendo, huu ndio uzalendo??? Wanajeshi 14 wameagwa alafu amiri jeshi mkuu hakutokea??OMG 😭😭 . . Hata wale wanaojitia wabishi hivi hili swala wanamtetea vipi huyu mtu?? This is not normal human behavior, hapa kuna tatizo kubwa sema ni vile wazalendo tuko wachache wengine wote wanaangalia maslahi yao binafsi!!! Hakuna mtanzania mwenye akili timamu anaeweza kumwelewa Rais kwenye hili jambo..... Hapana this is too much!! Dah! Bado nashangaaa mwenzenu mjue??? . . Something tellls me hii ni imani ya kishirikina, labda ndo maana anaogopwa kama Mungu, labda nguvu yake inatokana na mauti. Seriously hapa lazima kuna mambo ya kishirikina ndo maana mzeee hawezi kuwa kwenye sehemu moja na maiti. Tena especially sehemu yenye maiti zaidi ya moja ndo hawezi kanyaga bora iwe maiti moja anaweza akabeba hirizi zake akaenda ila ikizidi moja haendi ng’oooo!!
I’m baaaaaaaaaaaack!! And ready to kick ass!!! Nyambaf madikteta chupi zimebana. . . I believe things happen for a reason. I think God wanted to give me a wake up call! Nilikuwa nimejisahau sana, nikahisi nna undugu na wenye insta 😂. Nashukuru hii imetokea sasa hivi nasio katikati ya uchaguzi wa 2020. . So what happened to my page? Ile picha ya papa la fudenge kidogo inikosti hii account. Mnajua ile picha siku-delete niliiweka kwenye archive tu, ndo maana account haikufutwa pale pale, nilitoa picha kwenye profile so insta kila wakifatilia zile report za watu picha hawaioni finally wakaiona. Ila na mimi nilikuwa nawaza nini mpaka nikaiposti ile Picha? Insta hawana mchezo na picha kama zile especially kwa account zenye millions of followers, haki sikutumia akili Rob Kardashian alifungiwa alipoposti papa la Blacchyna.Alafu kumbe tayari nilikuwa kwenye probation sababu ya zile posti za Vera Siddika. Zile posti si niliandika kwa english?😅 Insta walizifutaga siku zile zile , kumbe tayari waliniweka kwenye probation alafu mwenyewe sijui, alafu tayari acccount yangu ina official complaint kutoka jeshi la polisi la Tanzania sasa nilipoongeza na picha ya papa la Milly ndo nkawatibua vuzi. Insta walikuwa wananisubiria niwape sababu tu waninyooshe! . . From today nikitaka kuposti picha za ajabu au ikibidi nichambe kwa english ntakuwa na weka huku @mangekimambi_2020 . . Kuanzia sasa hii account nitaiheshimuuu. Hii account itakuwa ni ya kutetea wanyonge na kupinga serikali ya udikteta tu..... . . hii experience pia imeniambia kuwa its time for me to move to my app ili niwe free na pia ili hii account iwe safe kwa ajili ya kipindi cha uchaguzi. Yani nikiposti upumbavu kwenye hiii acccount mnipige. . . Sasa account nimeipataje?? Dadeki nimetesekaaaa, insta walinichunia hawajibu email, niliwaandikia e-mail zaidi ya 500 wao waliniandikia 1 tu😂, nilidataaaa, mpaka nimeenda makao makuu ya instagram huko Menhlo Park.Nimedrive 12 hours. 6 hours kwenda, 6 hours kurudi.
I can’t believe I’m back.............. . . . Jomoni nimerudiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii, uwiiiii tunaaanzia wapi?? Dadekiiiiiiii ngojeni kwanza niwabusu wanangu kwa furaha alafu niwape Stori kilichoipata hii account..... . . Ila kabla ya yote pls follow my back-up account. Next time likitokea balaa kama hili mtanipata kwenye account hii @mangekimambi_2020 @mangekimambi_2020. Pls follow now, uwiii pls follow maana sijiamini nahisi nkifumba macho itapotea tena 😂... . . Jamani nimeteseka kuipata hii account hamuwezi kuelewa 😭😭😭😭😭😭😭😭 . . Staki kujua wazeee wa kununua wabunge na kutishia watu wahamie chama chao walivyonuna 🤣🤣🤣😂 vipi mwenyekiti wao aliekatazwa na waganga kusogelea maiti? yupo?mwambieni besti ake karudiiiiiii 🤣🤣
Mmesikia aibu iliyompata waziri mkuu huko bandarini??🤣. Basi bwana baada ya habari kulipuka mtoto wa Nas Haulage Bahman akawahi bandarini fastaaa na bill of ladding zooote zinazoonyesha kuwa gari zilitumwa kiuhalali na hakuwahi kutumia jina la Waziri mkuu. Waziri mkuu akasema watu wa bandarini wamesema aliwapigia simu akawaambia kuwa ni gari zake na voicenotes zake zipo polisi wanazo....Bahman akasema hakuwa kusema kitu kama hiko kama vipi hizo voicenotes zitolewe mbele yake. Acha watu wa bandarini watafute voicenotes mpaka mifukoni holaaaaaa.... Mwisho ikawa aibuuu, Waziri mkuuuu kujibeba na media mpaka bandarini sababu ya hila tu alizotumwa na Rais akazifanye . . . Anyways Majaaliwa is not to blame here. Magufuli ndo kamtuma akawafanyizie. Although ukweli umeshajulikana kuwa Nas Haulage hawakufanya kitu kama hiko naamini bado Magufuli atatafuta njia ya kutaifisha hizo gari..... . . #repost @jamiiforums (@get_repost) ・・・ Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amefanya ziara katika bandari ya Dar es Salaam na kubaini kampuni ya NAS ikitaka kutoa trela 44 bila kulipa kodi kwa kutumia jina la Waziri Mkuu - Amemtaka IGP Simon Sirro kuwakamata, Bw. Bahman wa kampuni ya NAS na Wakala wa Kampuni ya Wallmark, Bw. Samwel kwa kuhusika na tukio hilo
Uwiii naona mnapata wasiwasi na mimi naomba mtoe shaka kwangu, hata nife njaaa na wanangu siendi CCM. Nyambaf, mimi nilifiwa na baba yangu nikiwa chuo first year, tena mtoto mayai nisiejua hata kutafuta senti moja niliekuwa nimezoa maisha ya kiPrincess! Baba akaacha maagizo kuwa mimi na wadogo zangu tuwe tunapewa share yake ya kampuni ya Antelope Tours aliyokuwa anaown 50% na mke wake mdogo. Tulipokuwa kwenye msiba wa baba mke mdogo nae alifanya msiba nyumbani kwake, nilimpigia simu nikamtukanaaaaaaaaa why anafanya msiba wa babangu wakati yeye ndo kasababisha ajiue ?? Na nikamchimba biti nisimuone kijijini kwenye mazishi so hakuja kuzika. After 40 kwenye kikao cha familia mke mdogo akasema atanilipia school fees na pocket money atanipa ila nimuombe msamaha, weeeeeee niliruka kama swala kwenye huo mkutano nikatolewa njeee, niliwaambia bora nkatoe K kwa mibaba ya Legion Club nipate school fees kuliko nimpigie magoti mtu aliesababisha kifo cha babangu. Kwa jinsi nilivyozoea raha za mzee Kimambi kila mtu aliamini maisha yakinichapa kidogo tu ntarudi kwa mke mdogo nikiwa na adabu.Wadogo zangu walishindwa kuvumilia wakawa wanapokea msaada wake. Weeeee Mimi niligoma kumpigia goti.Nilipambana na mke mkubwa akawa ananilipia fees na zilipokosekana Dr. Mwele alinilipia school fees. Na nili adjust life yangu ya kiprincess nikaanza kuishi kisela tu!.Mimi ndo mtoto pekee wa babangu ambae sikupokea hata senti kutoka kwa mke mdogo sababu nilisimamia msimamo wangu! . . Hotel ya babangu ile Tiger Motel I own 25% ile family mansion I own 25%, I own huge land mbweni huko, kachekini kesi za mirathi mahakama kuu kwa mnaodhani kuwa I have nothing to lose ndo maana napigania wananchi. Hata leo waseme wanazivunja wavunje tuuu, kaka zangu itabidi wakapambane na kuajiriwa na wapambane na nyumba za kupanga ila mimi sirudi nyuma. . . Siwezi kuuza utu wangu sababu ya njaa au kuogopa kifo..... . . Mimi nna roho ngumuuuu, leo hii Magufuli akisema anakubali katiba mpya ila mimi nirudi TZ niface
Kwa vile hamuwezi kumu unfollow insta sababu mnapenda umbea 🤦🏽‍♀️ kudelete app yake najua haitowashinda.... #deletewemaapp. #uninstallwemaapp #dontbuywemasepetumovies . . CCM wakidownload Wema App Itapendeza zaidi!!! Kwanza naamini haitaji tena pesa za App, naamini kabisa sasa ana posho yake nzuri tu kila mwezi kutoka Lumumba. Ataishi vizuri tu hata lipstick zake sasa zitaruhusiwa kuingia. . . Kwa wale mliokuwa mmedownload Wema Sepetu App na hamjui jinsi ya kuiondoa kabisa app kwenye simu yako, Nenda play store, type Wema Sepetu, ikija app yake bonyeza hapo nilipozungushia pameandikwa uninstall.. . . Kama ulikuwa umejiingiza kwenye subscription yani malipo automatic ya kila mwezi lazima uji unsubscribe kwanza ndo udelete app la sivyo app itaendelea kukuchaji kila mwezi hata kama umeshai-delete kwenye simu yako. Ukiweza delete kwanza account yako ndo ui uninstall! . . . PS: Ilikuwa rahisi kwangu kuwachamba kina Msando and the rest ila kwa Wema naumia sana hamuwezi kuelewa but it has to be done. This struggle is bigger than any of us.... Hatuwezi kumsampoti mtu kama huyu no matter the pressure angekomaaa, what is nyumba? What’s is kesi ya bangi? Angepiga 2 years angekufa? Hizo Lipstick zAke zilizopigwa marufuku so what? Angeishi tu! Katurudisha nyuma for her own selfish reasons and for that we can not continue to support her!!!
Watanzania Embu achacheni na hizo movie za CCM naona sasa mnahangaika na hilo tifu la steve Nyerere na PolePole. Hamna bifu hapo, Like I said wako kwenye damage control. Achaneni nao hao!! Mmesahau Steve Nyerere na machozi yake kwenye press? 😂Embu fanyeni shughuli zingine bwana! Achacheni na hao mashetani wanawachota akili tu ili kuhalalisha ujio wa Wema ili ionekane wao CCM hawakujua before kuwa Wema anarudi na hawajamtishia lolote..Embu tumieni akili tu Wema ni mpumbavu kiasi gani arudi CCM bila kuongea na viongozi au kujua mapokezi ya huko yatakuwaje?? Kina Alberto wenyewe walisubiri wakajua mapokezi yatakuwaje ndo wakahama, Same day wamehama walianza kumfata Bashite matakoni kila anapokwenda. Ndo mdhani Wema alihama kichwa kichwa tu bila maongezi na viongozi wa CCM?? Like I said! Watampokea vizuriiiiiii tu tena Ikulu kabisa for now wanasafisha kwanza ujio wake. Acheni kuwapa Kiki ujinga wao wakujifanya wanagombana. . . . Let’s get back to the issue at hand. This struggle is bigger than Wema, this struggle is bigger than any one person.Naona Wengi wenu mnaomba tufanye campaign ya kumu unfollow Wema. Tatizo lenu watanzania mnapenda umbea kuliko chakula. Hata nikifanya hiyo kampeni itafeli tu. Mlishindwa kumuunfollow Bashite mtaweza Wema?? Sana sana mtamu unfollow leo wiki ijayo mtamfollow tena. Hiyo ya kuunfollow wafanye wanaoweza kuishi bila umbea. Mimi nimeshamu unfollow ila sitopoteza muda wangu kufanya hiyo kampeni. Kwa kitu alichowafanyia wananchi ilibidi Wema abaki na followers elfu 10 ili iwe fundisho kwa mastaaa wengine ila wabongo wanyime hata chakula ila sio kuunfollow star 😂. Sana sana atamuunfoolow alafu atafungua fake account amfollow😂 . . . Anyways tufanye mambo ya maana zaidi. Like I said hii struggle ni yetu sisi.Watu kama Wema Sepetu watatuchelesha kupata ukombozi ila hawatatuzuia. Inabidi na sisi watanzania tuache kuwasapati Hawa wanaoturudisha nyuma cha kwanza kabisa tufanye haya yafuatayo. . . Delete WemaAPP fastaaaaaaa.
😳😳@wemasepetu umeona hiii?? Ndo maana nilikwambia ni bora ukomae tu na matatizo yako. Ona wanavyokudhalilisha sasa. And it’s just a game they are playing kuihadaaaa jamiiii. . . Ila ngoja niwaambieni watZ whats happening here. CCM hawana lolote. Wanaweweseka sababu niliwaharibia kiki yao kwa kutangaza mapema Wema anahama na kutoa sababu. So now kwa vile Wema kahama kweli hii imenipa mimi cedibility’s kubwa mnoooo kwenu pamoja na sababu za Wema kuhama zimepata credibility. Hii ni plan tu ya CCM kujisafisha. Sababu kurudi kwa Wema CCM kumeonyesha picha halisi ya watu kutishiwa baada ya mimi kuwaeleza watanzania kabla ya issue kutokea.. . . PolePole anachokifanya hapa ni damage control tu, CCm wanajaribu kuonyesha kuwa wao hawakuongea na Wema before uamuzi huu wa Wema so wanamdhalilisha ili watu waamini kuwa Wema amerudi CCM mwenyewe kwa moyo wake bila wao CCM kumtishia which is absolutely NOT true . . Kesho asubuhi mtaamka mtasikia mwenyekiti wa CCM katengua uamuzi wa Polepole kasema mtoto akikosa ni lazma asamehewe.Wema ni Mwana mpotevu na baba wa wanyonge kamsamehe. Guess what hapo watakuwa wamefuta kabisa kwenye akili za wananchi kuwa Wema alihamia CCM kwa shinikizo la lazima bali alihama mwenyewe na Magufuli kwa huruma zake akampokea baada ya CCM kumkataa. . . Yes Watanzania watch and see how this is going to play out. Magufuli namjua sasa hivi kama nimemzaaaa! Watampokea Wema kwa shangwe ila for now wanadili na damage aliyoifanya Mange Kimambi. Naamini kwanza wanataka kunyonyana macho huko kutafuta nani aliemwambia Mange hii issue kabla haijatokea!!! . . Wewe kama mTanzania naomba utumie akili zako na ujiulize je Mimi Mange Kimambi nipo marekani niambiwe na mtu mkubwa huko CCM ambae aliwashawahi kuwa waziri wa nchi kuwa Wema Sepetu anarudi CCM lakini PolePole kaja kujulia mitandaoni????????? Kweli does it even make sense? Pole pole anafanya damage control ili ujio wa Wema CCM uonekane ni wa halali na sio wa vitisho. Watanzania anzeni kuwa na akili

Loading