Picbear logo Browse Instagram content with Picbear

@nikkwapili

nikk wa ii

nikkwapili

Msanii wa muziki wa hiphop, mwanazuoni,mmoja wa waanzilishi wa kampuni ya weusi, pamoja na taasis ya maendeleo ya jamiii (www.twaonekana.org)

  • 183K Total Likes
  • 1K Tot. Comments
nikkwapili
Flirting au kuchati.....wengi wana kasirika wanapokuta wapenzi wao wanachati na mwanamke au mwanaume mwingine katika namna ya kuvutiana, watu wanavunja simu, kukasirika, ugomvi.....lakini flirting au kuchati huko ni tendo zuri sana ki saikolojia...lina ongeza kujiamini, kuona bado unapendwa, unavutia watu wengine, unaambiwa vingi kuhusu ubora wako vitu ambavyo mpenzi wako hawezi viona vyote, unafurahia kupendeza kwako, style zako za nywele, nakadhalika.....sio kitu kibaya kabisa kama kitaishia kwenye kuchati tu......Flirting inakupa nafasi ya kujijuwa, kujiamini, kujenga self-esteem, na kufurahia effort zako za kujipendezesha nakadhalika....tusimindiane jamani lets flirting acha tuchati tu
New Music......Loading
2017..Ngoma Mpya ziko mezani...time ya Kula.......aanze nani @johmakinitz @gnakowarawara nikk...au Weusi?????.
Chuo ambako wanatufundisha..democrasia..chuo chenyewe hakiendeshwi kidemocrasia..maamuzi hutoka juu kwa wachache, media house magazeti, tv, wanao andika habari juu ya democrasia, media zenyewe haziendeshwi kidemocrasia ni mali ya watu wachache na wanaamuwa ni habari au taarifa zipi zitoke, serikali inayosema niya kidemocrasia.....nako katiba inasema raisi ni mfalme...........sasa hi democrasia kumbe ni dhana tu ya kujifurahisha...coz wadau wake wa kuu shule,vyuo, serikali, media...wote hawaitaki wala hawaifati.....i wonder why wana ihubiri kwa nguvu zote...#niajabu na kweli
Vest mpya.....ipate. ...sasaa.....@ki2ko @ki2ko
nikkwapili
One of the baddest....nenda kwa bio yakes skiliza ngoma yote..@angelmarykato
Sweet naniii??????
Haters dont get better they get bitter
Acha kabisa hizi hela za saiv zinaingia kwa Arthmetic progression zinatoka kwa Geometric progression...
Ingawa nimekulia kwenye shida nyingi....lakini moyo wa mama yangu ulikuwa hekalu lenye raha nyingi sana......ukihitaji furaha nenda hom, ukihitaji starehe nenda club..#tbt
With birthday girl.....happy birthday @lilianemasuka ....uwe na furaha make the most of it
Kila unapo post na kaundika ni sawa na kupanda mti, sasa hebu tizama uliyokuwa unaweka mitandaoni......umetengeneza msitu wa aina gani.......msitu wa mbao, mauwa, msitu wa kutalii....au msitu wa mashetani
Utatunza penzi languu weweeee.........ile ili vuja sio hiiiii....he he....@nahreel @gnakowarawara @johmakinitz .......
Bottles up...weusiii
Tupate live plannet bongo na @dullahplanet @anapitatz  na @djommycrazy ....Bottles Upp
Tunaimba kwenye furaha....na hata msiba ukija tutaimba vile vile.....tofauti tu itakuwa ni aina ya nyimbo....ila tendo litakuwa lilelile kuimba....tupate live now plane bongo na @dullahplanet na @anapitatz
90% ya wasichana hawalipi billi katika mtoko....iwe club,dinner, au hata mkiwa mmekaa kibarazani akapita muuza ice cream hawata lipia.......yani nikatika group la whats up ndio wanalipia bili kwakuwa kila mtu anaingia kwa net yake....he he he....ndio mana kijiweni tuna chili na wana maana hata akija muuza kahawa na kashata wote tuna changia.....tag wana wote..#wana 4 life.....he he Usiku mwema watoto wa sir God
Tunasikiaga wasanii...wanapata uzamani wa magari, video, shows na mambo kadhaa toka kwa watu wanao sadikiwa kuuza madawa...swali ni je kumsogelea mfanya biashara hiyo sio pia kujisogeza karibu na madawa??????? Wewe unaonaje hebu nipe maoni yako
Dhana ya mwalimu...mwalimu ni mtu aliyo hodhi..maarifa/ufahamu na kujifunza.......yani asipo hudhuria kipindi wanafunzi wanasema leo hamna kusoma au kipindi kimehairishwa....kama ni primary ni muda wa kupiga soga, kama ni chuo ni free time movie au misele....... Yani mwalimu asipokuwapo hakuna kipindi, hakuna kujifunza.......Thana ya namna hii ya "mwalimu" ni kuu katika mfumo wetu wa elimu na kujifunza.........nini maoni yako dhidi ya dhana hii...."mwalimu kama mfalme wa maarifa na kujifunza"

Loading