Picbear logo Browse Instagram content with Picbear

#hatutumiinguvu

Posts tagged as #hatutumiinguvu on Instagram

411 Posts

||| BIN LADEN ||| Usikose kuangalia #fridaynitlive ya #eatv leo usiku kuanzia saa 3:00 hadi saa 5:00 producer @binladen255 kutoka #tongwerecords kwa interview baab.. . #chizimabeat #hatutumiinguvu #sammisago #domstandup
Marafiki wanafki pia wapo Hebu mtag rafiki wa kweli hapa kauli mbiu #usibadilike #hatutumiinguvu #chekanajifunzekitu Follow @mr_seriousfunny
Moja kati ya kazi kubwa ya Planet Bongo ni kuinua vipaji na Leo tunakuletea chuma kingine cha kuitwa Hidary Scoda. Tune East Africa Radio hivi sasa...!!! #usifositufanane #hatutumiinguvu
Ma nicca @kingzilla_tz hii ndo ilikua dakika 10 za maangamizi ya kwanza kaaabiiisaaaa Leo ni kumbukumbu ya miaka 4 tangu kufariki kwa aliekua mfalme wa freestyle Bongo Albert Mangwea. Naskia Dodoma kuna Dogo ni Mkali sana kwa freestyle mpaka jamaa wanamuita Ngwea. Huenda akaja kesho Kwenye 10 za maangamizi ila tukutane saa 12:00 jioni Leo the request show..!!!! Nambie ngoma unayopenda kuicklza hapa...!!! #usifositufanane #hatutumiinguvu
Hivi huyu @harmorapatz1 ndie yule nnae mjua mm??? ๐Ÿ™‡๐Ÿ™‡๐Ÿ™‡ mbona kama game yake inakua serious sana kiasi kwamba wa2 wanadata akipanda kwa jukwaa ๐ŸŽค๐ŸŽบ ndio maana hiki kiwanda kikaitwa game. Kwa wenye kujua maana ya game hua na heshima kwa kila mtu...!!!! #usifositufanane #hatutumiinguvu
Kila sehemu tunafanya ibada ili hekima na busara viyatangulie mapungufu ye2 @wagosiwakaya #producer Danny #mamamkwe Merata aka Amara...!!! #usifositufanane #hatutumiinguvu
Nyakati za Furaha na @selementally mmoja kati ya Ma Rapa bora kabisa kutoka Mbeya...!!! #usifositufanane #hatutumiinguvu #mapichapichatuu
Kua wa kwanza kuusikiliza wimbo mpya wa Stamina leo Kwenye planet Bongo...!!! 13:00-16:00hrs #usifositufanane #hatutumiinguvu
Madaraka ya kulevya ya weusi @johmakinitz @nikkwapili @gnakowarawara ilitambulishwa kwa Mara ya kwanza kupitia Planet Bongo ya East Africa Radio na imesimama katika nafasi ya kwanza wiki hii Kwenye Bongo Fleva Top 20. Hivi ndivyo inafaa kufanywa, tunaipeleka Bongo Fleva Kwenye ramani ya Dunia @jayrjunior #hatutumiinguvu #usifositufanane #semandiwooo

Baada ya kufanya poa na ngoma yake muziki ๐ŸŽถ๐ŸŽป๐ŸŽค aliomshirikisha Ben Pol @darassacmg anaachia dude lake jipya Leo la kuitwa Hasara Roho๐ŸŽบ๐Ÿ“€๐Ÿ“ผ. Kua wa kwanza kuisikiliza ๐ŸŽง๐ŸŽง kupitia Planet Bongo ya East Africa Radio 13:00-16:00hrs na @jayrjunior @dullahplanet #usifositufanane #hatutumiinguvu #semandiwooo

Leo tutakua na mmoja miongoni mwa wasanii bora wanao chipukia Kwenye Game ya Bongo Fleva ๐ŸŽถ๐ŸŽธ๐Ÿ“€ na pia ni muandashi wa nyimbo๐ŸŽถ๐ŸŽต na mbunifu wa melodies aliewahi kushiriki Kwenye ngoma kibao kubwa za Bongo Fleva๐ŸŽค๐ŸŽง๐ŸŽบ. Anaitwa @foby na atatambilisha wimbo wake mpya Leo Kwenye Planet Bongo 13:00-16:00hrs na @jayrjunior @dullahplanet #hatutumiinguvu #semandiwooo

#repost @deeluxe_tz with @repostapp ใƒปใƒปใƒป Leo tutakua na mmoja miongoni mwa wasanii bora wanao chipukia Kwenye Game ya Bongo Fleva ๐ŸŽถ๐ŸŽธ๐Ÿ“€ na pia ni muandishi wa nyimbo๐ŸŽถ๐ŸŽต na mbunifu wa melodies aliewahi kushiriki Kwenye ngoma kibao kubwa za Bongo Fleva๐ŸŽค๐ŸŽง๐ŸŽบ. Anaitwa @officialfoby na atatambilisha wimbo wake mpya Leo Kwenye Planet Bongo 13:00-16:00hrs na @jayrjunior @dullahplanet #hatutumiinguvu #semandiwooo

Loading