Picbear logo Browse Instagram content with Picbear

@udakutz_

Udakutz.

udakutz_

Kwa Habari Za Umbea/Ubuyu Download App Yetu ➡Bonya Link hii 👇

 • 14K Total Likes
 • 483 Tot. Comments
Kwa Mahitaji Ya Mashuka Quality  yenye duvet cover ..Piga Simu/ WhatsApp  Nipigie /whatsApp . 0752768633 AU 0674834234 . Utapata DUVET  COVER SHUKA. FORONYA. 👉👉Mashuka yetu ni Bora kabisaa na Hayachuji wala kupauka. .!!! Pia yapo Rangi mbalimbali zenye kuvutia na kupendezesha muonekano wa Kitanda chako na muonekano mzurii wa Chumba chako..!!! . PIA □□□ 《》 ■WANAUZA VITU VIFUATAVYO . . ■Mapazia.. ■Saa ■Mito ■Net ■mataulo ■Mapochi . . ●Na vingine Kibaooo● 👉Tunafanya delivery ndani ya Dar na kutuma Mikoani Kote. . Kutazama Sample mbalimbali za Mashuka na Vitu Vingine. Mfollow @f_j_collections @f_j_collections @f_j_collections @f_j_collections @f_j_collections @f_j_collections
Rais John Magufuli amesema kuwa Serikali imetatua Changamoto mbalimbali pamoja na Madawati  kwenye Jimbo la Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu. "Tumetatua changamoto ya madawati...sasa hivi hata watoto wa TunduLissu wanakaa" Magufuli amesema kuwa kuna "Wengine mmewachagua lakini wanaongelea ya Dar es Salaam tu...Kosea kuoa unaweza kutoa talaka, lakini usikosee kuchagua" . . TOA MAONI YAKO HAPA
Mtag Hapa Kama Unamjua
@ireneuwoya8 🔥🔥🔥
LOSE BELLY » » Kiboko ya vitambi, nyama uzembe na mikono minene iliyojaa minyama uzembe » » Usisubiri tumbo likulemee njoo tukupe tiba asilia LOSE BELLY NDIO KIBOKO YA HAYO MATATIZO YOTE #bei 30,000/= Tshs TUPIGIE/ WHATSAPP 0767-288480 » » FOLLOW»»»»FOLLOW » » @AMAZINGBEAUTY_PRODUCTS @AMAZINGBEAUTY_PRODUCTS @AMAZINGBEAUTY_PRODUCTS @AMAZINGBEAUTY_PRODUCTS
VIDEO : MH RAISI MAGUFULI ATEMA CHECHE SINGIDA... AWAPA MAKAVU LIVE KWAMBA KAMA HAWALIMI WAKITEGEMEA SERIKALI BASI WAJUE MAPEMA HATOI CHAKULA..!!
VIDEO: Mambo ya Amber Rose... Kama Una Muda Tazama Hapa Akifanya Yake....full viuno..!!!
Tanzania Sweetheart @wemasepetu
Je Unahitaji Nguo Nzuri na High quality... Kwaajili ya Mtoto wako??? Basi Mcheck /mfollow @Happyfashon @Happyfashon @Happyfashon @Happyfashon Ni Muuzaji wa nguo za watoto tena kwa Bei Poa kabisaa..!! . . Duka lipo sinza kwa remmy Namba whatsap: 0766264515 Au 0715492010. . . Pia Kuna utaratibu wa Delivery kwa Dar na kutuma mikoani. . . Wasiliana nae /mfollow kwa Kupata utaratibu na kutazama Nguo nzuri alizonazo kwaajili ya watoto . @Happyfashon @Happyfashon @Happyfashon @Happyfashon
Mtag Hapa 😂😂
**AMEN **
🔷JIPATIE VIATU VIKALI VYA KIBABE KABISAAA AINA MBALIMBALI. ■VIATU VYENYE UBORA ■HAVICHUJI ■BEI POA 🔷VIATU VYA SWAGGA KWA WALE WATOTO WA TOWN. 🔷VIATU VYA KIOFISI ■SANDALS KALI WAHI MAPEMA UJIPATIE VITU BOMBA. . . 🔷PIA TUNA BIDHAA ZINGINE KAMA BOXERS, SINGLEND KWA WANAUME NA WANAWAKE. . . 🔷DERIVERY IPO POPOTE PALE ULIPO KWA MAHITAJI YA BIDHAA ULIVYOPENDA PIGA SIMU/WHATSAPP 👇 0765171730 0628920919 KUTAZAMA VIATU/VITU TOFAUTI TOFAUTI ALIVYONAVYO TAFADHARI FOLLOW 👇 @manzi_16_clasicshoe @manzi_16_clasicshoe @manzi_16_clasicshoe
Mbunge wa Makete Prof. Norman Sigalla amemsifu Rais wa Awamu ya tano kuwa amefuata nyayo za Mwalimu Nyerere kutoka na matendo yake yatanabaishwa kwenye hutuba za Baba Taifa "Mambo mengi yaliyozungumzwa kwenye hotuba za Mwalimu Nyerere ndiyo yanayoonekana kwa Rais Magufuli" Hayo ameyasema leo kwenye ziara ya rais Magufuli Mkoani Singida Professa Sigalla ameongeza kuwa Vyama vyetu tuviweke pembeni wote tumuunge mkono Rais. . . TOA MAONI YAKO HAPA
udakutz_
- Kwa mahitaji ya miwani kali na frame za kijanja za kuwekea lens follow @_slay_all_day05 on instagram and place your order..tunafanya delivery sehemu yoyote Dar na mikoani pia tunatuma. . . Wapo Instagram pia Wafollow @_slay_all_day05 @_slay_all_day05 @_slay_all_day05
Picha Hii Ya gigy_money ina tatizo gani / kasoro gani?? Angalia kwa makini kisha Tupia Comment Yako Hapa.. 😁😁
- Hii ndio first eleven siku ya jumamosi ya tarehe 05/08/2017 pale uwanja wa taifa Uwanjani 1.@sallam_sk 2.@babutale 3.@ricardomomo 4.@mwarabu_fighter 5.@mkubwafellatmk 7.@iamlavalava 8.@harmonize_tz 9. @Diamondplatnumz 10.@rayvanny 11.@romyjons TUKUTANE TAIFA
😂😂😂😂
Msanii wa Bongo Flava, Shetta ametaja sehemu anapopata fedha za kuendesha maisha yake hasa katika kipindi alichokuwa kimya kimuziki. Shetta ambaye kwa sasa anafanya vizuri na ngoma yake mpya ‘Wale wale’, amesema yeye hana fedha nyingi kama watu wanavyodhani na kiasi alichonancho kinatosheleza maisha yake tu. “Mimi ni chawa kwa matajiri nikiwa na shida namcheki boss Mo, au matajiri ambao nimetengeneza ukaribu nao na mwisho wa siku mambo yangu yanaenda,” Shetta ameiambia Planet Bongo ya EA Radio. Msanii huyo ameenda mbali zaidi kwa kusema si kweli kuwa fedha zake anazipata kutokana na biashara ya dawa za kulevya, na kueleza kuwa angekuwa anafanya hivyo nae angetajwa katika orodha ya watuhumiwa wa biashara hiyo haramu. TOA MAONI YAKO HAPA
Tunda Bossbaby... 💟💟💟
Msanii wa nyimbo za injili nchini Madam Flora ambaye aliwahi kuwa mke wa muimbaji injili Emmanuel Mbasha amefunguka na kusema sasa hivi hata kaa kimya kwa watu wote ambao wanakuwa wakimzushia habari mbalimbali. Madam Flora  Madam Flora amesema hayo kupitia ukurasa wake wa Instagram baada ya chombo kimoja cha habari kusambaza habari kuwa ameachana na aliyekuwa mume wake kutokana na kutoridhishwa kimapenzi na mtu huyo habari ambayo ilikuwa ikisomeka " Flora Mbasha : Hakuna haja ya kuwa na mwanaume asiyekuridhisha kinyumba" jambo ambalo amelikana na kusema yeye hajazungumza maneno hayo. "Hizi habari ni za uongo, sijafanya mahojiano na radio yoyote na kuzungumza maneno hayo kama ilivyo sambaa mitandaoni. Naomba mzipuuze maana ni mpuuzi mmoja tu ameamua kuonyesha upuuzi wake na kutafuta 'followers' kwenye page yake. Na niseme tu kwamba hivi sasa sitakaa kimya tena, huyo aliyezoea kunizushia story za uongo akifikiri siijui sheria ajipange vizuri maana mahakama ipo na sheria ipo" alisisitiza Madam Flora Madam Flora ambaye sasa ni mke halali wa Daud Kusekwa ametoa kitabu chake alichokipa jina la 'Siri za Flora Mbasha' ambacho kinaelezea maisha yake na yale aliyopitia katika ndoa kabla ya kujivua minyororo na kutoka katika maisha ya Emmanuel Mbasha na kuingia katika ndoa nyingine .

Loading